🍽️ Karibu Biriani Delicious

Biriani tamu ya Nyama na Kuku - Ladha Halisi!

Biriani Nyama

Small - 6,500 TZS

Medium - 9,000 TZS

Large - 10,000 TZS

Biriani Kuku

Small - 8,500 TZS

Medium - 10,500 TZS

Large - 20,000 TZS

Weka Order

Wasiliana WhatsApp

Kuhusu Sisi

Karibu Biriani Delicious! Tunatoa biriani yenye ladha halisi ya viungo vya asili, imepikwa kwa ustadi mkubwa kuhakikisha kila mteja anapata ubora wa hali ya juu. Tunazingatia usafi, ubora na huduma bora kwa wateja wetu. Karibu ujionee ladha tamu isiyosahaulika!